AFISA Malihai Club of Tanzania(MCT)CHINI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TOKA MAKAO MAKUU ARUSHA AKIMKABIDHI VYETI MKUU WA CHUO KWA WAHITIMU WA MWAKA WA TATU 2009/2012. WAKWANZA KUSHOTO NI MWALIMU MLEZI WA STEMMUCO MALIHAI CLUB
January 11, 2013
STEMMUCO MALIHAI ENVIRONMENTAL CLUBMtwara, Tanzania |
Parts of this page are in Swahili. Edit translations AFISA Malihai Club of Tanzania(MCT)CHINI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TOKA MAKAO MAKUU ARUSHA AKIMKABIDHI VYETI MKUU WA CHUO KWA WAHITIMU WA MWAKA WA TATU 2009/2012. WAKWANZA KUSHOTO NI MWALIMU MLEZI WA STEMMUCO MALIHAI CLUB January 11, 2013
|
Comments (64)
Inapendeza sana,lakini isiishie hapo ni lazima tutazame mbele zaidi ili kutunza vyema mazingira yetu.
Lets wake up for environmental conservation you people of Africa,! Africa is one, together we can make it happen! Long live malihai STEMMUCO,.
Ingependeza sana kama unapokea cheti na unaendelea kutumikia na kuyatetea mazingira sioyo tu ndani ya stemmuco hata unakoenda, make mazingira ni mahali popote unapokuwa .Nawatakieni harakati njema katika kutetea na kulinda mazingira yetu.Na kwa wanaobaki endeleleeeni kulisongesha gurudumu huku mkiwajibika kuendeleza pale walikoishia wenzenu.
mi naomba malihai club mtutembelee mkoa wa ruvuma maana tuna hamu kubwa yakuwa wanachama sasa atujui tufanyaje ili tujiunge
Nafurahi sna ninapoona juhudi za kikundi cha mazingira STEMMUCO zinaendelea vizuri.Mimi ni waziri msaidizi wa kwanza wa mazingira STEMMUCO kuongoza kikundi hiki Das y nafurahi sana kuona mpo active,bado nipo kwny harakati za mazingira chini ya malihai na mnaweza mkanicheki kwny facebook (sfasm activisits) au namba 0782146878.Ahsanteni sna.
FORM KILIMANJARO MOSHI
Envaya <web@envaya.org> wrote:
2015-01-21 12:38 GMT -08:00, Envaya <web@envaya.org>:
nacheck hapa zote siioni email ya fomu.
TENA .WIKI IJAYO .SAMAHANI KWA USUMBUFU,TUSAMEHE
2015-02-13 5:16 GMT -08:00, Envaya <web@envaya.org>:
MALIHAI CLUB?
Tarehe 20/03/2015, Envaya <web@envaya.org> aliandika:
MALIHAI CLUB?
Tarehe 20/03/2015, Envaya <web@envaya.org> aliandika:
MALIHAI CLUB?
Tarehe 20/03/2015, Envaya <web@envaya.org> aliandika:
YA MALIHAI CLUB MKOA MBEYA .ASANTE
2015-05-28 3:00 GMT -07:00, Envaya <web@envaya.org>:
--
Sent from myMail for Android Friday, 31 March 2017, 01:32AM +03:00 from Envaya web@envaya.org :