concern for development initiatives in africa
forDIA ni shirika ambalo tumeshirikiana nalo mara nyingi katika kutekeleza shughuli mbalimbali tangu mwaka 2008. shughuli hizo ni pamoja na miradi ifuatayo:-
1. Utafifi juu ya mtazamo rushwa katika jamii ya Watanzania awamu ya pili
2.Utafiti juu ya mtazamo rushwa awamu ya tatu
3.Raia makini 2010 [Elimu kwa mpiga kura] n.k
Foundation for Civil Society
The foundation for civil society ni shirika ambalo limekuwa likitufadhili katika shughuli tangu mwaka 2009.
Friends of tanzania [FOT]
Friends of Tanzania ni Shirika la hiari kutoka Marekani, limekuwa likitupatia ufadhili tangu mwaka 2008
Muheza Civil Society coalition
Muheza civil societies ni mtandao unaotunganisha mashirika yote ya kiraia katika wiliya ya Muheza, tumekuwa tukishirikia na mtandao huu tangu mwaka 3008.
policy Forum
Tumekuwa mwanachama wa Mtandao huu tangu 2010, tumekuwa tukifaidika kwa namna mbalimbali kwa kuhudhuria mafunzo na mikutano yakupashana habari pamoja na kupatiwa machapisho mbalimbali.
The Developing Rural Community Initiative in Tanzania
Asasi hii tumeanza kushirikiana nayo katika mwaka 2012 kwa kubadlishana uzoefu katika maswala mbalimbali ya kikazi




