Fungua
NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL

NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL

Lindi Vijijini, Tanzania

Juhudi kubwa zimefanyika kutokomeza ugonjwa wa malaria, lakini bado tunashuhudia maelfu ya binadamu wenzetu wakiteketea kwa ugonjwa huu. Je ni wapi sisi kama watanzania tunapokosea?

Godlisten Msaki (Nyengedi)
24 Septemba, 2011 14:30 EAT

nakaribisha wadau kuchangia

[ujumbe umefutwa]
siagirltz@gmail.com (Temeke )
18 Oktoba, 2011 14:16 EAT (ilihaririwa 26 Machi, 2012 08:07 EAT)

@Godlisten Msanapenda kuchangia katika hili tunapokosea sisi ni sehemu moja tu kwamba unatibu malaria baada ya kuangamiza mazalia ya mbu kwani ndio chanzo cha kuenea kwa malaria. vile vile elimu haitolewi ipasavyo upotoshaji unakuwepo mkubwa ambao unawafanya watu wasiokuwa na elimu kudharau kinga zinazotolewa na serikali kwa mfano (chandarua) kuna baadhi ya watu wanasema zina madhara kwa binadamu bila kufanya utafiti wowote na jinsi ninavyofahamu jamii kubwa ya vijijini elimu ni ndogo kama mtu atapotosha jambo basi ni rahisi kuenea. vile vile kuna umuhimu wa vyombo vya habari kujikita zaidi vijijini ambako ndio kuna madhara makubwa zaidi na sio kubaki mjini ningeomba serikali na wadau wa habari walione hilo watoe elimu kwa wanainchi wa vijijini zaidi kwa kuwa mjini wameelimika kiasi fulani.ki (Nyengedi): 


Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki