Injira
NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL

NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL

Lindi Vijijini, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Shirika linafanya kazi katika maeneo makuu wawili, afya na mazingira kwa sasa. Shirika limejikita katika kutokomeza ugonjwa wa malaria pamoja na vita kuu ya VVU/UKIMWI. Katika kufanikisha hili tumejizatiti katika Kata 28 kati ya 30 za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi yenye jumla ya wakazi 214,882. Katika kila Kata 28 hizo tunao waelimishaji na wakusanyaji takwimu {CCA'S}. Katika mradi wa malaria tunafanya kazi na PSI,  Christian Social Services. Katika VVU/UKIMWI bado tunafanya kazi na Taasisi zote na Mashirika yenye nia ya kuisaidia jamii ya Lindi Vijijini