Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Madhumuni ya Shirika ni kuwaunganisha wastaafu ili kupambana na umasikini na maradhi haswa Ukimwi na Malaria. Pia kutoa elimu kwa jamii ili wawe na ufahamu wa kupambana na umasikini na maradhi. Kulinda, kutunza mazingira, makazi, Rasilimali za asili {maji, mito, mabwawa, misitu na uoto wa asili
Amakuru agezweho
NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL afite ubutumwa bushya mu kiganiro Kwanini watanzania tulio wengi ni masikini hata wa mawazo..
fikiri mvugaro: watanzania tulio wengi ni mabigwa na wataalamu wazuri wa mawazo hasa wanasiasa wetu ila tatizo linapokuja pale inapofikia utekelezaji ndio mbinde ukitaka kuamini hilo angali kipindi cha uchaguzi kinapofia uambiwa maneno matamu na yakutia moya hata kama ulikuwa huna haja ya kupiga kura utahamasika mwenyewe kwenda kupiga kura. si... Soma ibindi
11 Gicurasi, 2012
NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL hari ibyo yahinduye kuri Ikipe paje.
BODI YA USHAURI YA NYEDACO – MWENYEKITI - MURCUS NGULI – KATIBU -RAYMOND MKONGOPELE – MWEKA HAZINA - HASSAN MWACHI – MSHAURI WA KITAALAM - GODLISTEN MSAKI – AFISA WA ITIFAKI NA MAWASILIANO – MRATIBU WA ELIMU NA KUJENGA UWEZO – MRATIBU WA AFYA MAJI NA... Soma ibindi
15 Nzeli, 2011
NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL yashyize PSI ku rutonde rwe rwa ibigo by'abafatanya bikorwa
29 Kanama, 2011
NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL yashyize LINDI SUPPORT AGENCY FOR WELFARE ku rutonde rwe rwa ibigo by'abafatanya bikorwa
29 Kanama, 2011
NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL yashyizeho Amakuru agezweho.
Tunakaribisha wadau mbalimbali katika Shirika letu la Nyedaco kwa ushauri na kusaidia jamii ya kusini iliyo katika hatua za awali kabisa za maendeleo. Tunaomba asasi mashirika na wadau wengine wanaotaraji kufanya kazi Wilaya ya Lindi milango iko wazi kwenu
29 Kanama, 2011
NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL yakoze Ikipe paje.
BODI YA USHAURI YA NYEDACO – MWENYEKITI - MURCUS NGULI – KATIBU -RAYMOND MKONGOPELE – MWEKA HAZINA - HASSAN MWACHI – MSHAURI WA KITAALAM - GODLISTEN MSAKI – AFISA WA ITIFAKI NA MAWASILIANO – MRATIBU WA ELIMU NA KUJENGA UWEZO – MRATIBU WA AFYA MAJI NA... Soma ibindi
29 Kanama, 2011
Ibyiciro
Aho uherereye
Lindi Vijijini, Lindi, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye
Reba ibigo mwegeranye