
Wawezeshaji wa semina wakimsikiliza DMO wilaya ya Kasulu anavyowaeleza wakina mama juu ya umuhimu wa kutumia misoprostol kwa usahihi kama wawezeshaji walivyoeleza.

Bi Petronilia kayago akisisitiza kuwa ni mhimu dawa zipatikane,Maana hospitali zimeisha.Ameomba NYDT/WPC NA PHI kutoa msaada wa dawa hizo

Mama muuza dawa katika kata ya Nyakitonto akinukuu dozi sahihi kwa ajili wa mama mlengwa wa dawa za miso.

Bi Mdaki akisisitiza matumizi sahihi na Kuwaomba wauza dawa waanze kuziuza kwenye maduka yao kama mkakati wa upatikanaji wa Dawa za miso-Kasulu Vijijini

Bi Edita K.Mdaki Mratibu wa Mradi akiwasilisha mada-Namna dawa za Miso-zinavyomsaidia mama aliyejifungua.

Muuza dawa Maarufu-Kata ya Nyakitonto akisikiliza na kusoma vitini Vyenye Taarifa za Miso.

Bwana Yohana musa Mbilizi WEO_ Kata Nyakitonto akisoma kwa Makini Taarifa sahihi na namna ya upatikanaji wa Misoprostol Ktk Wilaya ya Kasulu



