
Ndugu RAMADHAN JOEL-MKURUGENZI NYDT akiwa Dodoma hotel ktk mafunzo ya Manage Your grant yaliyotolewa na The Foundation for civil society.

Ndugu siyaleo sadoki na Bi Mhina wakiwa ktk mafunzo ya kujengewa uwezo juu ya uongozi na utawala ktk csos-kigoma

Mratibu wa mradi wa miso-Bi Edita mdaki akiandaa taarifa ya Utekelezaji baada ya kuendesha semina Kasulu.

Hii ndio ofisi ya Nyakitonto youth for development Tanzania ipo mtaa wa Burega,kata ya Buzebazeba,eneo la Maweni,karibu na Ilipo hoteli ya Dr.livingstone lodge.KWA YEYOTE MWENYE MAWAZO YA KUENDELEZA JAMII KWA NJIA YA KUJITOLEA ANAKARIBISHWA AJE KUSHIRIKIANA NASI AU APIGE 0765794896 POPOTE ALIPO ATAPEWA USHIRIKIANO.

Kushoto ni Bi Edita mdaki(Mratibu)akipata data za vifo vya mama na mtoto kutoka Hospitali ya Rufaa Mawen.Anayetoa data ni Bi.Ndalituke-Mkuu wa kitengo cha mama na mtoto mawen hospitol.

Kulia ni Bi Edita k Mdaki Mratibu wa mradi wa miso NYDT akiwa na Bi Sofia Nasibu wa KIWODE wakibadilishana uzoefu juu ya utekelezaji wa mradi kwa jamii ya Kigoma.

Afisa Tabibu akiahidi kushirikiana na wakunga kulipeleka mbele suala la Taarifa za miso-ili kila mwanamke anayehudhuria kliniki apewe mafunzo ya dawa za miso.

Afisa tabibu akifafanua jhambo na kuwaeleza wanawake wavae mabango kueneza walichojifunza ili kila mtu afikiwe na taarifa za miso.


