Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
ibigo by'abafatanya bikorwa
Concern
Concern walitupatia msaada wa fedha kwa ajili ya kuelimisha jamii kupambana maambukizi mapya v.v.u na ukimwi na magonjwa ya zinaa katika kata mbili za Namtumbuka na Nitekela ambazo zinajumuisha vijiji kumi katika halimashauri ya wilaya ya Mtwara Vijijini Mwaka 2005-2006