Parts of this page are in Swahili. Edit translations
kuwa na jamii iliyohuru isiyo na maradhi ujinga na unyanyapaa.
kuelimisha jamii kupambana na maambukizi mapya ya v.v.u na ukimwi.
kuelimisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa ya alu ya kutibu malaria isiyo kali.
Latest Updates
NANYAMBA TRADITIONAL CULTURAL GROUP added Concern to its list of Partner Organizations.
Concern walitupatia msaada wa fedha kwa ajili ya kuelimisha jamii kupambana maambukizi mapya v.v.u na ukimwi na magonjwa ya zinaa katika kata mbili za Namtumbuka na Nitekela ambazo zinajumuisha vijiji kumi katika halimashauri ya wilaya ya Mtwara Vijijini Mwaka 2005-2006
May 18, 2011
NANYAMBA TRADITIONAL CULTURAL GROUP joined Envaya.
May 18, 2011
Sectors
Location
Nanyamba, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations