Fungua
NANYAMBA TRADITIONAL CULTURAL GROUP

NANYAMBA TRADITIONAL CULTURAL GROUP

Nanyamba, Tanzania

Mashirika ya Ubia

Concern

Concern walitupatia msaada wa fedha kwa ajili ya kuelimisha jamii kupambana maambukizi mapya v.v.u na ukimwi na magonjwa ya zinaa katika kata mbili za Namtumbuka na Nitekela ambazo zinajumuisha vijiji kumi katika halimashauri ya wilaya ya Mtwara Vijijini Mwaka 2005-2006