Kuwa kituo cha kukusanyana kutoa habari kwa wadau wa sanaa ili kutoa mchango na kuelimisha jamii kurithisha ujuzi utaalamu utakaoleta mabadiliko katika maisha ya mwanajamii.
Mabadiliko Mapya
Mtandao wa Wasanii Morogoro imeongeza Habari.
HABARI WAUNGWANA – MTANDAO WA WASANII MOROGORO (MWAMO) UNAWATAKIA WAISLAMU WOTE NA WATANZANIA KWA UJUMLA HERI YA SIKU KUU YA IDD ELFITRI NJEMA. – KAULI MBIU YETU – DUMISHA AMANI TANZANIA NI YETU. – ASANTE – SALUM TINDWA – MKURUGENZI MTENDAJI MWAMO...
18 Julai, 2015
Mtandao wa Wasanii Morogoro imeongeza Habari.
MWAMO ITAENDESHA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA VIKUNDI KTK MANISPAA YA MORO, JUNE 20II. MNAKARIBISHWA WADAU WOTE. DIRECTOR.
9 Aprili, 2011
Mtandao wa Wasanii Morogoro imeongeza Habari.
MWAMO INASIKITIKA KUTANGAZA MSIBA WA MSANII MWENZETU RAMADHAN KASIM(DUZU)UMETOKEA 25/2/20II.MAZISHI KESHO. TUNASIKITIKA
24 Februari, 2011
Mtandao wa Wasanii Morogoro imeongeza Habari.
MWAMO inapongeza mpango wa tbl juu ya tuzo za wanamuziki nchini.
7 Februari, 2011
Mtandao wa Wasanii Morogoro imeongeza Habari.
mtantandao unashiriki sasa kuendesha mafunzo ya lugha za asili yakiendeshwa na kimau. mawasiliano.0713493361.
26 Januari, 2011
Mtandao wa Wasanii Morogoro imejiunga na Envaya.
2 Juni, 2010
Sekta
Sehemu
Manispaa, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu