HABARI WAUNGWANA
MTANDAO WA WASANII MOROGORO (MWAMO) UNAWATAKIA WAISLAMU WOTE NA WATANZANIA KWA UJUMLA HERI YA SIKU KUU YA IDD ELFITRI NJEMA.
KAULI MBIU YETU
DUMISHA AMANI TANZANIA NI YETU.
ASANTE
SALUM TINDWA
MKURUGENZI MTENDAJI MWAMO
Maoni (0)
MWAMO ITAENDESHA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA VIKUNDI KTK MANISPAA YA MORO, JUNE 20II. MNAKARIBISHWA WADAU WOTE. DIRECTOR.
MWAMO INASIKITIKA KUTANGAZA MSIBA WA MSANII MWENZETU RAMADHAN KASIM(DUZU)UMETOKEA 25/2/20II.MAZISHI KESHO. TUNASIKITIKA
MWAMO inapongeza mpango wa tbl juu ya tuzo za wanamuziki nchini.
mtantandao unashiriki sasa kuendesha mafunzo ya lugha za asili yakiendeshwa na kimau. mawasiliano.0713493361.