Fungua
MUWAPE SACCOS LTD

MUWAPE SACCOS LTD

WETE MTEMANI, Tanzania

Asasi ya Muwape inategemea kutekeleza Mradi wa Kuwajengea Uwezo Viogozi na Wanacha wa Uelewa wa Kuiongoza Asasi kwa umahiri.

Mradi huo utafadhiliwa na Foundation for Civil Society.Mradi ni wa Ruzukuya Tsh.7,364,500.

Mradi huu utakuwa wa Miezi mitatu pia utawashirikisha jamii inayozunuka eneo la Mradi.