EDUCATION FOR LIFE IMPROVEMENT AND DEVELOPMENT
Latest Updates
Mpotola Secondary School created a Volunteer page.
Mpotola Sekondari bado inaendelea kuimarisha elimu, nimekuwa nikifuatilia matokeo ya vijana waliohitimu katika shule ambayo imekuwa miongoni mwa shule za Kata. Awamu ya kwanza shule ilitoa wanafunzi 7 kwenda kidato cha tano mwaka 2009 ambao mwaka huu wamefanya mtihani wa kidato cha sita. Matokeo yao yamefuta ukweli kuwa... Read more
May 21, 2012
Mpotola Secondary School created a Projects page.
Shule ya sekondari Mpotola ilianzishwa kwa nguvu za wananchi mnamo Mwaka 2006 tarehe 16 Januari, Baadaya ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Ndg Ishidor Shirima akiongozana na Afisa elimu wa Mkoa wa Mtwara Ndg Wahab Essay kuridhishwa na kufurahishwa na juhudi za wanakijiji wa Mandala kujenga shule yao ya Msingi iliyosababisha kuhama... Read more
March 4, 2011
Mpotola Secondary School joined Envaya.
March 4, 2011
Sectors
Location
NEWALA, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations