Injira
MOTIVATION COMMUNITY

MOTIVATION COMMUNITY

Mwanza, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Tume fadhiliwa na The foundation for civil society(Ruzuku) ya awamu ya kwanza,katika mradi wa "kuijengea Asasi uwezo",tuna taraji kunufaika zaidi na mradi huu,kwani tulianza Vijana ambao niwalengwa wetu katika Asasi pia tuna tarajia kuwa na mradi wa Watoto ambao pia niwalengwa wetu.