We need all stakeholder to discuss on how we can save shengena forest?Not only that but also this discussion will open the way towards to the wonderfully environmental walks which will be held on 15 july 2013.All are welcome for advices,aids like funds, t-shirts and other equipments.
ASASI YA KUHIFADHI MAZINGIRA KIMANG'A (AKUMAKI) (PANGANI - TANGA ) alisema:
JAMBO HILI ELEKEZI NI BORA SANA KULIKALIA ASASI WANA CHAMA WA MAZINGIRA KULIPA NGUVU ZA HOJA NA UKAMILIFU PILI NAWATOLEA SHUKURANI ZETU ZOTE JUU YA SWALA ZIMA LA MAZINGIRA JE NDUGU. WAJUA KUWA ADUI WA MAZINGIRA NI MTU TAJIRI TUJIPANGE KWA HILO NASI TUKO PAMOJA HILI NDIO ONI LETU
Ina wezekana kurudisha matumaini kwa msitu wa SHENGENA kwa nia thabiti kwa pamoja kivitendo vitendo tuna weza kurudisha rangi ya kijani katika msitu wa shengena hima hima tuungane kwa pamoja tuokoe mazingira ya msitu huu tukumbuke kuwa misitu ni uhai!
Tunashukuru kwa kututia moyo kuokoa msitu wa shengena.Tunaomba tushirikiane
kufanikisha hilo.
Mch Makenya
Mkurugenzi
Original Message:
11 Februari, 2013
asasi kuhifadhi (via email) alisema:
TWASHUKURU KWA HILI KAMA TUMELIONA KWA PAMOJA SASA NI KUPAMBANA NA USIMAMIZI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA
TURUDISHE KIJANI YETU HAPA NCHINI NA DUNIANI TUKIAZIA SISI AKUMAKI, MOHISPAC,GREEN SUPPORT ORGANIZATION TANZANIA
HAYA SHEME SHEME
AZENI TUWAZE KUHIFADHI MAZINGIRA
Maoni (4)
kufanikisha hilo.
Mch Makenya
Mkurugenzi
Original Message:
TURUDISHE KIJANI YETU HAPA NCHINI NA DUNIANI TUKIAZIA SISI AKUMAKI, MOHISPAC,GREEN SUPPORT ORGANIZATION TANZANIA
HAYA SHEME SHEME
AZENI TUWAZE KUHIFADHI MAZINGIRA