Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations
Caroline D.Marando(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akitoa zawadi kwa wanafunzi waliojibu vizuri maswali baada ya kupta elimu ya sheria juu ya Haki na wajibu wa mtoto katika Shule ya Msingi Nyamatare "A" iliyoko katika Manispaa ya Musoma.
21 Gicurasi, 2018