Emmanuel Alphonce-kulia mwisho(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akiwa katika ofisi ya Taaluma Shule ya Msingi Kigera "A" iliyoko katika Manispaa ya Musoma akiwa na Dorica Elias-katikati(mtoto aliyerudi shule baada ya mlezi wake kupata elimu ya kisheria juu ya Haki ya elimu kwa mtoto pamoja na Mwalimu wake wa Taaluma(kushoto mwanzoni)
May 21, 2018