Log in
Matemwe Control HIV/AIDS, Education and Environment (MCAEE)

Matemwe Control HIV/AIDS, Education and Environment (MCAEE)

Tanzania

  •  Kuazisha na kuendeleza shughuli mbali mbali za kimaendeleo kwa manufaa ya jamii na wana jumuiya.
  • kuendeleza ujenzi wa miundo mbinu ya shehia.
  • Kuendeleza na kuboresha huduma za Afya,maabara,maji safi na salama.
  • Kukuza viwago vya Elimu kwa kuendeleza shughuli za ujenzi wa madarasa,vikalio na shughuli nyengine za kimaendeleo.
  • Kutoa elimu zikiwemo za kuhifadhi Mazingira,HIV/AIDs na n.k.
  • Kuendeleza na kuazisha shughuli za kiuchumi na kuhakikisha jamii inafaidika na rasilimali zilizowazunguuka.
  • Kuendeleza na kuimarisha urafiki na mashirika,NGOs na CBOs za ndani na nje ya Tanzania.

 

Latest Updates
Matemwe Control HIV/AIDS, Education and Environment (MCAEE) added 3 News updates.
Eneo hili liliku kama linavoonekana ni chafu,mifuko na chupa za plastic zikizagaa bila ya mpango kabla ya kuundwa kwa jumuiya ya MCAEE 2008
November 23, 2010
Matemwe Control HIV/AIDS, Education and Environment (MCAEE) created a Team page.
Uongozi wa MCAEE ni kama unavyoonekana hapo chini – Bakar Jaha Muhidin - mwenyekiti wa MCAEE – Hoja Mweleza Haji - makamo mwenyekiti MCAEE – Idrisa Ali Mati - katibu wa MCAEE – Juma Makungu - makamo katibu MCAEE – Chumu Nyange - mshika fedha... Read more
November 23, 2010
Matemwe Control HIV/AIDS, Education and Environment (MCAEE) created a Projects page.
MCAEE ni community based organization (CBO) na inajishughulish na miradi vile elimu ya ukimwi na mazingira pamoja na kazinyengine za kijamii yakiwemo maji safi na salama. – Kwa sasa MCAEE inategemea kuazisha mradi wa Community Based Tourism ambayo itaenda sambamba na hifadhi ya misitu ya asili na wanyama pori kama vile paa (dear)... Read more
November 23, 2010
Matemwe Control HIV/AIDS, Education and Environment (MCAEE) joined Envaya.
November 21, 2010
Sectors
Location
Zanzibar North, Tanzania
See nearby organizations