Base ((ururimi rutazwi)) |
Kinyarwanda |
- Kuazisha na kuendeleza shughuli mbali mbali za kimaendeleo kwa manufaa ya jamii na wana jumuiya.
- kuendeleza ujenzi wa miundo mbinu ya shehia.
- Kuendeleza na kuboresha huduma za Afya,maabara,maji safi na salama.
- Kukuza viwago vya Elimu kwa kuendeleza shughuli za ujenzi wa madarasa,vikalio na shughuli nyengine za kimaendeleo.
- Kutoa elimu zikiwemo za kuhifadhi Mazingira,HIV/AIDs na n.k.
- Kuendeleza na kuazisha shughuli za kiuchumi na kuhakikisha jamii inafaidika na rasilimali zilizowazunguuka.
- Kuendeleza na kuimarisha urafiki na mashirika,NGOs na CBOs za ndani na nje ya Tanzania.
|
|
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga
Injira ·
Iyandikishe