Fungua
Malezi Alive Pioneers

Malezi Alive Pioneers

MBEYA CITY COUNCIL, Tanzania

- Kuwaelimisha vijana na kuwapa stadi za maisha
- Kulea na kuwasaidia watoto yatima na waishio katika mazingira magumu.
- Kuwapa mbinu mbali mbali za kuwafanya waweze kujiamini katika nyanja mbali mbali ikiwemo elimu, ajira na ugunduzi wa vitu mbali mbali
- Kuwajenga vijana wawe katika maadili mema ili kuepukana na kuwa na vijana wanaojiingiza katika uhalifu
- Kuwajengea uwezo utakaowawezesha kujua misingi ya maadili mema
Mabadiliko Mapya
Malezi Alive Pioneers imehariri ukurasa wa Timu.
Sigfried Mwigune – The Chief Coordinator – Laris Simon Mwakasaka – Project Coordinator
23 Julai, 2010
Malezi Alive Pioneers imeongeza Habari.
Asasi ya Malezi Alive Pioneers ni Aasasi isiyo ya kiserikali inayofanya kazi kuwajengea uwezo vijana wawe katika maadili mema na pia wajiamini katika masuala mbali mbali yanayowakabili
17 Mei, 2010
Malezi Alive Pioneers imejiunga na Envaya.
17 Mei, 2010
Sekta
Sehemu
MBEYA CITY COUNCIL, Mbeya, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu