Envaya

Magea Organization

Mbeya, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kutoa elimu kwa jamii kuhusu sera haki za binaadamu na utawala bora

Latest Updates
Magea Organization added a News update.
HOTUBA YA MKURUGENZI MTENDAJI MBARALI MHESHIMIWA GEORGE KAGOMBA KWENYE SEMINA YA MAFUNZO YA PETS YALIYYOENDESHWA NA ASASI YA MAGEA KWA UFADHILI WATHE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY TAREHE 12/11/2011, MJINI RUJEWA MBEYA. Mhe: Mkurugenzi alianza kwa kutoa shukrani kwa mwaliko wa kuja kufunga semina na hatimaye kukabidhi vyeti vya kufuzu washiriki wa... Read more
July 27, 2012
Magea Organization added Foundation for Civil Society to its list of Partner Organizations.
July 21, 2012
Magea Organization added 2 News updates.
kikosi kazi cha Team ya Magea organization wakichukua maelezo kwa mgonjwa katika hospitali ya Wilaya ya Mbarali jinsi wanavyohudumiwa na wauguzi katika hospitali hiyo.
July 20, 2012
Magea Organization joined Envaya.
July 20, 2012
Sectors
Location
Mbeya, Tanzania
See nearby organizations