Injira
Magea Organization

Magea Organization

Mbeya, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

large.jpg

kikosi kazi cha Team ya Magea organization wakichukua maelezo kwa mgonjwa katika hospitali ya Wilaya ya Mbarali jinsi wanavyohudumiwa na wauguzi katika hospitali hiyo.

large.jpg

Kikosi kazi cha Magea Organization wakiwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Asasi hiyo ya Magea bwana Salinyambo Shaweji Kharidi wakujadiliana nje ya Hospitali ya Wilaya ya Mbarali baada ya kutoka kuongea na wagonjwa hospitalini hapo.