Envaya

MIRADI AMBAYO ASASI INAENDESHA KATIKA MWAKA 2015.

(I) MRADI WA UBORESHAJI WA MAZINGIRA KATIKA MAKAZI YA JAMII KATIKA KUHIMIZA MATUMIZI YA VYOO BORA NA SALAMA PAMOJA NA KUZUIA MAZALIO MAPYA YA MBU.

(Mradi unaofadhiliwa na wanachama wa asasi)

(2) MRADI WA MATUMIZI YA MAJI SAFI NA SALAMA

(Mradi wa ushirikiano na serikali ya kijiji)

(3)MRADI WA UOTESHAJI WA MICHE YA MITI. (NURSERY)

(Mradi unaoendeshwa na kufadhiliwa na wanachama)