Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Kuwa asasi inayofanya kazi na makundi ya jamii za chini ambayo yamedhamiria kutunza ,kuhifadhi,kulinda mazingira pamoja na kutumia fursa za uwepo wa mali ya asili katika uwekezaji wenye faida endelevu isiyo na athari kwa kizazi cha sasa na kijacho”
Mabadiliko Mapya
LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTS EMPOWERMENT GROUP. imeongeza Habari.
ASASI KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA YA NANE NANE MWAKA 2015. – ASASI YA LUSANGAENVIRONMENTAL GRASSROOTS EMPOWERMENT GROUP INATARAJIA KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA YATAKAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU JULIUS NYERERE MKOANI MOROGORO MWEZI WA NANE MWAKA HUU. – LENGO LA USHIRIKI NI KUWEZESHA ASASI... Soma zaidi
27 Mei, 2015
LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTS EMPOWERMENT GROUP. imeumba ukurasa wa Miradi.
MIRADI AMBAYO ASASI INAENDESHA KATIKA MWAKA 2015. – (I) MRADI WA UBORESHAJI WA MAZINGIRA KATIKA MAKAZI YA JAMII KATIKA KUHIMIZA MATUMIZI YA VYOO BORA NA SALAMA PAMOJA NA KUZUIA MAZALIO MAPYA YA MBU. – (Mradi unaofadhiliwa na wanachama wa asasi) – (2) MRADI WA MATUMIZI YA MAJI SAFI NA SALAMA ... Soma zaidi
27 Mei, 2015
LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTS EMPOWERMENT GROUP. imeongeza DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION (DAKEDEO) kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
27 Mei, 2015
LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTS EMPOWERMENT GROUP. imejiunga na Envaya.
27 Mei, 2015
Sekta
Sehemu
TURIANI-MTIBWA, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu