ASASI KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA YA NANE NANE MWAKA 2015.
ASASI YA LUSANGAENVIRONMENTAL GRASSROOTS EMPOWERMENT GROUP INATARAJIA KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA YATAKAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU JULIUS NYERERE MKOANI MOROGORO MWEZI WA NANE MWAKA HUU.
LENGO LA USHIRIKI NI KUWEZESHA ASASI KUONESHA KAZI ZAKE NA BIDHAA AMBAZO ASASI INAZALISHA KATIKA MIRADI YAKE YA KIJAMII.
PIA NI KUTAFUTA MASHIRIKA MBALIMBALI YA KITAIFA NA KIMATAIFA.
KUJIFUNZA NA KUPATA UZOEFU TOKA KATIKA WASHIRIKI MBALI MBALI AMBAO WATAKUWEPO KATIKA MAONESHO HAYO.
May 27, 2015