Fungua
LOVE CARE TO ALL

LOVE CARE TO ALL

Tabora, Tanzania

Shirika letu linfanya shughuli ziuatazo:

1. kuibua vikundi vya ujasiriamali kulingana na rasilimali walizo nazo.

2.Kutoa elimu ya ujasiriamali ya nanma ya kutumia rasilimali zinazowazunguka

3.kutembelea makundi ya uzalishaji mali kila mwezi ili kufuatilia maendeleo yao, changamoto wanazokutana nazo na jinsi wavyozikabili.

4. Kutoa eimu juu ya kujikinga na maambukizi ya VVU na kuacha mitandao ya mapenzi na ngono zembe.