Log in
LOVE CARE TO ALL

LOVE CARE TO ALL

Tabora, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

lengo la shirika langu ni kutoa ushauri kwa vijana juu ya kujikinga na maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI, hii itawasaidia vijana kujitambua na kuzijua fursa walizonazo katika jamii iliyozungukwa na maradhi.

Latest Updates
LOVE CARE TO ALL added a News update.
kukingana na ukubwa wa tatizo shirika limeamua kuchukua idadi ndogo ya walengwa ambao litaanza nao kwanza kwa awamu ya kwanza kulingana na uwezo wa shirika na mchango wa wafadhili. – Kwa upande wa makundi shiriki yote yameanza kufanya kazi za mikono kama ujasiriamali mdogo kilingana na rasilimali walizo nazo katika jamii yao, baadhi... Read more
June 17, 2012
LOVE CARE TO ALL created a Team page.
Wanaoongoza shirika: – 1.Mkurugenzi wa shirika:Rachel Rashidy – 2.Mratibu wa shirika:Magreth kokuhabwa.
June 13, 2012
LOVE CARE TO ALL created a Projects page.
Shirika letu linfanya shughuli ziuatazo: – 1. kuibua vikundi vya ujasiriamali kulingana na rasilimali walizo nazo. – 2.Kutoa elimu ya ujasiriamali ya nanma ya kutumia rasilimali zinazowazunguka – 3.kutembelea makundi ya uzalishaji mali kila mwezi ili kufuatilia maendeleo yao, changamoto wanazokutana nazo na... Read more
June 13, 2012
LOVE CARE TO ALL created a History page.
shirika lilianzishwa mnamo mwaka 2011 mwezi wa 12 mkoani Tabora likiwa na lengo la kutoa elimu juu ya kujikinga na maambukizi mpya ya VVU kwa vijana kati ya miaka 18 na 45. Shirika liliweka mikakati juu ya kulipata kundi hili la vijana lililo kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na janga hili la UKIMWI. – Tangu kuanzishwa kwa shirika... Read more
June 13, 2012
LOVE CARE TO ALL joined Envaya.
June 12, 2012
Sectors
Location
Tabora, Tanzania
See nearby organizations