Kupambana na umaskini miongoni mwa jamii.
Latest Updates
Kikundi cha Maendeleo Kuchele Kijiji cha Mtopwa added a News update.
Kuchele Mtopwa imeandika Maombi kwa ajili ya kuendesha Mafunzo ya Utawala Bora kwa viongozi wa Asasi 100;viongozi 84 toka Serikali za vijiji tano vya Kata ya Mtopwa na wajumbe 16 toka makundi ya watu wenye ulemavu katika kata ya Mtopwa kwenye Shirika la The Foundation For... Read more
October 19, 2010
Kikundi cha Maendeleo Kuchele Kijiji cha Mtopwa created a Projects page.
Kuelimisha jamii juu ya kujikinga na maabukizi mapya ya virusi vya UKIMWI,kuanzisha kituo cha uchunguzi wa magonjwa yatokanayo na kujamiana Mradi ulifadhiliwa na TACOSODE Kupitia ruzuku ya NACP kwa kiasi cha fedha za Kitanzania shilingi Milioni Nne na... Read more
September 15, 2010
Kikundi cha Maendeleo Kuchele Kijiji cha Mtopwa created a History page.
Kuchele Mtopwa ilianzishwa tarehe 10 Mei 1997 na ilisajiliwa rasmi mnamo tarehe 16 Mwezi oktoba 1998 Katika ofisi ya Makao makuu Wizara ya mambo ya ndani ya nchi jijini Dar es Salaam na kupata cheti cha usajili na SO 9601
September 15, 2010
Kikundi cha Maendeleo Kuchele Kijiji cha Mtopwa joined Envaya.
September 15, 2010
Sectors
Location
Mtopwa, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations