Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Wanafunzi wa stashahada ya Uzamili wa chuo cha Mipango Dodoma wakichora ramani ardhini ikiwa ni hatua za kutengeneza mpango wa Maendeleo wa kisekta katika Kijiji cha WAMI DAKAWA mkoani MOROGORO. utaratibu huu unawawezesha wanachuo kutoka wakiwa na ujuzi wa kusimamiana kutekeleza miradi ya maendeleo huku wakioanisha na miongozo mbalimbaliiliyopo nchini na ile ya Kimataifa.Mmiliki wa Mtandao huu ni miongoni mwa washiriki waliomo kwenye kozi hiyo

HILI NALO NENO: ETI BABU WA LOLIONDO KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA UTAPELI

FPAGEUWAZI2.jpg
  • Eti babu wa Loliondo anafunguliwa kesi za jinai na madai. Anafunguliwa kesi ya jinai kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kwamba eti aliwahadaa watu kwamba dawa yake inatibu wakati hakuna mtumiaji aliyepona.
  • Pia anafunguliwa kesi ya madai ili aweze kulipa fidia za watu waliopoteza maisha na wote waliosafiri kutoka sehemu mbalimbali huku wakitumia gharama kubwa ili kupata dawa isiyotibu.
Lakini je:
  • Vipi kuhusu mawaziri na vigogo wa serikali waliokuwa wakimiminika Loliondo huku wakiifagilia dawa hiyo kwamba ilikuwa imewasaidia na hivyo kuendelea kuchochea moto wa tiba hiyo? Hawahusiki kwa namna yo yote na "utapeli" huu?
LOLIONDO.jpg
  • Maswali ya kujiuliza katika suala hili ni mengi na yote yanaonyesha jinsi tunavyoendesha mambo yetu kama jamii. Hatuko makini, hakuna uwajibikaji na mambo yetu mengi - hata yale ya muhimu kabisa - tunayafanya kimzahamzaha tu. Kama anavyosema mhusika mmoja katika vibonzo vya Pogo, adui wa maendeleo yetu si mwingine bali ni sisi wenyewe!
  • Jikumbushe habari mbalimbali kuhusu Babu wa Loliondo na "tiba" yake ya kimiujiza HAPA.

Fuel-Subsidy Removal: Air transport to be grounded by Monday

airport.jpg
After an emergency meeting today by the three unions in the aviation industry, the Air Transport Services Senior Staff Association of Nigeria, (ATSSAN), the Nation Union of Air Transport Employee, (NUATE), and the National Association of Aircraft Pilots and Engineer, (NAAPE), Nigeria Air space will be closed and Air transport grounded as NLC commences a nation wide strike on Monday. The three unions have directed their members to withdraw their services by 12 midnight on Sunday January 8th. #OccupyNigeria

qRNaLpvmH6A

Over 50 injured as angry youths attack Muslims in Sapele

Screen-shot-2011-05-14-at-9.37.54-PM1.pn
Following the killing of at least six people at a Deeper Life Church in Gombe last night, over 2,000 angry youths armed with axes, cutlasses went on rampage today Friday 6th in Sapele, injuring over 50 Muslims at the Hausa quarters in Sapele, Delta state. Police have been called to the area...

_VNgItLhGHw

POLISI MBEYA WAPATA MKUU WA UPELELEZI (RCO) MWINGINE

RCO.JPG
Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi (RCO) mgeni wa Mkoa wa Mbeya Chacha (katikati aliyevalia koti Jeusi), akiwa na mtunza hazina wa MUJATA mkoani Mbeya Kanali Mstaafu Silvester Matiko (kulia) akikaribishwa katika Ukumbi wa Mji mdogo wa Mbalizi katika sherehe za kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi hilo mkoani (RCO) Anacletus Malindisa anayehamia makao makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam
MALINDISA.JPG
Kutoka kushoto aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi mkoani Mbeya (RCO) Anacletus Malindisa anayehamia makao makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam, akifuatiwa na Mwenyekiti wa MUJATA mkoani hapa Chifu Shayo Soja katika sherehe za kumuaga na kumkaribisha RCO mpya.(Picha na Ezekiel Kamanga).

PRECISIONAIR YAISADIA TIKETI TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE "TWIGA STARS"

9.JPG
Kampuni ya ndege ya PrecisionAir imetoa msaada wa tiketi zenye thamani ya sh. milioni 27.8 kwa timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars) ambayo Januari 14 mwaka huu itacheza na Namibia jijini Windhoek kuwania nafasi ya kucheza fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC).
Akitangaza msaada huo leo (Januari 6 mwaka huu) kwenye ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Dar es Salaam, Meneja Mauzo wa PrecisionAir, Tuntufye Mwambusi amesema wameamua kusaidia kwa vile Twiga Stars imekuwa ikifanya vizuri katika mashindano mbalimbali inayoshiriki.
Mwaka juzi Twiga Stars ilicheza fainali za AWC zilizofanyika Afrika Kusini, Julai mwaka jana ilikuwa kwenye michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa Afrika (COSAFA) nchini Zimbabwe na kushika nafasi ya tatu wakati Septemba mwaka jana ilishiriki michezo ya Afrika (All African Games- AAG) jijini Maputo.
Mwambusi amesema tiketi hizo ni kwa ajili ya kuitoa Twiga Stars kutoka Dar es Salaam- Johannesburg- Dar es Salaam kwa ndege yao ya PrecisionAir. Awali PrecisionAir ilitoa punguzo la nauli kwa timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) iliyoshiriki michuano ya COSAFA nchini Botswana.
Amesema mpango wa kampuni yake ni kushirikiana na TFF katika kuisafirisha Twiga Stars na timu za Taifa za vijana (Ngorongoro Heroes) na ile ya umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwenye nchi ambazo ndege yao inafika.
Naye Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah ameishukuru PrecisionAir kwa msaada huo mkubwa na pia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kutoa kambi kwa Twiga Stars ambayo inatarajia kuondoka Januari 12 mwaka huu kwenda Namibia na kurejea Januari 15 mwaka huu.
Amesema TFF bado inahitaji msaada wa kuisafirisha timu hiyo kutoka Johannesburg hadi Windhoek na kurudi Johannesburg ambapo itachukuliwa na PrecisionAir. Jumla ya nauli pekee kwa Twiga Stars kutoka Dar es Salaam hadi Namibia na kurudi ni sh. milioni 36.
Hivyo amewataka wadau kusaidia nauli hiyo ya kutoka Johannesburg hadi Windhoek, gharama za malazi timu ikiwa Namibia na posho kwa wachezaji na benchi la ufundi ambapo jumla yao ni watu 25.

Zuma will speak for me, Malema says

2012-01-06 18:04
 
Thaba'Nchu - Suspended ANC Youth League president Julius Malema said on Friday he was unperturbed by not being given a chance to speak at the ruling party's centenary celebrations in Bloemfontein at the weekend.
"I am not here to speak... President Zuma will speak on behalf of all of us. He was elected, whether we like him or not," he told a crowd at the Moroka Primary School in Thaba'Nchu in the Free State.
ANC chairperson Baleka Mbete told reporters on Wednesday that Malema would not be given the podium on Sunday, when Zuma delivered his annual January 8 statement in Bloemfontein.
Mbete said all messages of support, including Malema's, would be compiled into a booklet to be distributed to the 100 000 people expected to attend the ANC's centenary festivities over the weekend.
Malema first publicly referred to Zuma as "shower man" at the ANC's Limpopo conference in December 2011, where his close ally Cassel Mathale retained his position as provincial ANC chairman.
The beleaguered youth league leader was elected to the Limpopo ANC's provincial executive committee.
Before Malema's arrival in Thaba'Nchu on Friday, a group of youth at the school sang the "shower song". Some youth league leaders, including suspended secretary Sindiso Magaqa, first formed a circle and then lead the crowd in song.
"Malema re rapedise rea e sokolela. Shawara ya re sokodisa," they sang.
The words translate as: "Malema pray for us we are suffering. The shower man is giving us problems."
As in Limpopo, where the song made its debut, the Free State youth accompanied it with a gesture over their heads symbolising a shower.
This was a reference to Zuma's rape trial in 2006, during which he said he took a shower after having unprotected sex with an HIV-positive woman.
The group of young people also sang a song in praise of ANC national executive committee member and Sports Minister Fikile Mbalula, who was with Malema in Thaba'Nchu.
The youth league wanted him to replace ANC secretary-general Gwede Mantashe at the party's elective conference in Bloemfontein in December this year.
"Thina sifuna uMbalula [We want Mbalula]," they sang.
Malema held his first "mini-rally" in Welkom on Thursday.

 

DK BILAL AFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA POLISI PEMBA

2-2.jpg
Makamu wa Rais,Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi lililopo eneo la Dunga, Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba,

Rick Santorum Meets The Next Generation

David Corn reports on the exchange:

Santorum has been in this spot before, and he easily adopted a here-we-go-again stance, and, in a somewhat condescending manner, struck back with…logic. Or what he claimed to be logic. He asked the students to justify gay marriage. When one said, "How about the idea that all men are created equal and [have] the right to happiness and liberty," Santorum asked, Are you saying that everyone should have the right to marry anyone?

The student said yes. And Santorum quickly retorted. "So anyone can marry several people?"

No, the student said.

But what if someone can only be happy if he or she was married to five people? Santorum asked her.

Others in the crowd starting jeering him. "That's not the point," one shouted.

But Santorum, who kept cutting off the students, stuck to this argument. When the students talked about equal rights, he repeatedly interrupted, "What about three men?"

That Santorum has regurgitated the polygamy point reveals, it seems to me, the weakness of his thinking on this issue. Gay people are not seeking the right to marry anyone. They are seeking the right merely to marry someone. Currently we are denied that basic civil right that every heterosexual takes completely for granted, in most states. The issue of polygamy is completely different and separate. Currently, no straight people have a right to a three-way marriage, let alone gay ones. I think there are very good social reasons for that, although it's certainly worth debating. But it's another debate. The only way Santorum's argument works is with the premise that gays denied any right to marry are denied no right at all. They are not in the same category as heterosexuals, and their relationships, and the benefits they bring, are inherently inferior, indeed morally repugnant.

That's Santorum's view. It's his view that private gay sex can and should be regulated by the government to prevent the evil of sodomy from destroying society. And sodomy, remember, means any non-procreative sex act: oral sex, masturbation and, worst of all, contraception: a deliberate flouting of natural law. If this is the position of the GOP, it is essentially turning itself into an irrelevance for the vast majority of those under 40, and hefty proportion of everyone above.

The boos are a harbinger. But they may turn to cheers, of course, in South Carolina.

Te70o0ilWWM