
Mwanafunzi wa shule ya sekondari Bukoba azuiwa kufanya mtihani wa #kidatochaIV kutokana na kuwa na ujauzito - Mwananchi pg3

Tuzo za wandishi bora wa mwaka 2012 zimezinduliwa rasmi leo na wadau wa MCT. Elimu ni mojawapo kati ya 18 maeneo... http://t.co/mIDG3M8P

@ludadaud Fuatilia TL ya @njamason kufahamu sababu kubwa inayowasababisha kuzuiliwa kufanya mitihani, tena kigoma tuliwahi kuripoti hilo

@Allan_Lucky "Rais wa Wanafunzi" tufikishie hii http://t.co/EMjE57Kq kwa wananchi wako michango yao tunaisubira hapa http://t.co/pdebCzsx

Mwanafunzi afanya mtihani #kidatochaIV akiwa wodini baada ya kufanyiwa upasuaji, asema hayuko tayari kuikosa mitihani hiyo- Mwananchi

Wanafunzi 97 huko Kahama kutokufanya mtihani wa #kidatochaIV kutokana na kukosa fomu za maendeleo akiwa shule ya msingi (TMS9)- Nipashe

Wanafunzi wengine wa #kidatochaIV wametoroka na kutokufanya mitihani, hawa ndio raia wanaotegemewa kuwa viongozi wa kesho kweli? Tafakari

Ni muhimu wanafunzi wa #kidatochaIV wakajitambua na wanawategemewa na taifa sasa leo wako "wamesahau" vitambulisho wakazuiwa kufanya exams