
Tuma ujumbe unaohusiana na mtihani wa taifa wa darasa la saba utakaofanyika hivi karibuni #neshino @zittokabwe @JMakamba @shyrosebhanji

Waalimu msijihusishe na udanganyifu wakati wa mitihani Kufanya hivyo ni kushusha kiwango cha elimu- balozi wa elimu #neshino

@RNMsuya @Hakingowi @OrijinoKomedi @Twaweza_NiSisi Siku 4 kabla ya mtihani wa darasa7 je wazazi mmewasaidiaje wanafunzi hao?"#neshino

@Irenei2011 @JNthe1 Mwalimu anakufundisha lugha ya kiingereza mwanafunzi anatafakari na kufikiri kwa lugha ya kiswahili - Dr Lwaitama

Leo saa Moja Usiku @ITVTANZANIA Usikose Kuangalia Harakati za walimu nchini TZ, Angalia dakika chache za kipindi hiicho http://t.co/VFrz1D0z

Maarifa ya kusoma yanaweza kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu waliokwama katika lindi la umaskini. Tuma kisa chako kinachoelezea...

Basic reading skills can lift millions out of poverty. Share your story & win an e-reader or camera : http://t.co/oLqGw1Qi

Usikose kipindi cha mwisho cha Tafakari time kinachoangazia Mwalimu na Taaluma ya Ualimu nchini Leo saa moja... http://t.co/33rtsUV7