
#bajetielimu @zittokabwe @JMakamba @jjmnyika Tunasubiria michango yenu katika majadiliano ya bajeti ya MoEVT .

Rais wa chama cha walimu Ndugu Mkoba akifuatilia kwa makini taarifa ya kamati ya huduma ya jamii #bajetielim http://t.co/De568kTN

#bajetielimu Suala la wanafunzi kushindwa kusoma na kuandika baada ya miaka 7 ya shule ya msingi litashughulikiwa? Na vipi?

#bajetielimu reflections: Did not hear how MoEVT address the literacy/illiteracy issue that rocked the nation earlier this year. Did you?

@Gabbybentz14 Hilo tumeshindkwa kulipata; wakati waziri anasoma 'highlights' hwenda hakutaja; tutakujuza tukiipata.

#bajetielimu Did the reading of the 2012/2013 budget leave you hopeful, hopeless or apathetic? What needs to change?

The education ministry did not put a deadline on the new education policy that has been dragging on for about... http://t.co/XGZL5UKB

#bajetielimu: Did you know that Governments of Algeria, China, Cuba, Belgium, America and Turkey all contributed to funding education?

#bajetielimu Wizara inategemea kukamilisha sera ya elimu ambayo wadau wamekuwa wakiiulizia kwa tatu sasa.