
@FlavianaMatata wanafunzi waliokuwepo leo ofisini walifurahi kusoma tweet yako na hivi ndivyo walivyosema "tunasubiri ujumbe wa dada kwa >>

Msg in TV Screens,Tablets, Projectors,Blackboards,Cars used in pre- primary schools campaign http://t.co/vX7o1GDg Join us with your style

@FlavianaMatata shukrani sana dada yetu umekuwa siku zote mstari wa mbele kuikumbuka jamii ya kitanzania, tanzania is proud of you

HILI NDILO TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU KAMPENI YA ‘BORESHA ELIMU YA CHEKECHEA http://t.co/NjnQwEu6

@RebecaGyumi Tukushukuru wewe pia kwa majukumu yako katika kujenga nchi yetu, safari njema dada

@FlavianaMatata >>>> kwa njia mojawapo kati ya hizi hapa http://t.co/Wer7idym ili ujumbe wako ufike kwa wengi

@RebecaGyumi Usijali mdau zoezi ndio kwanza limeanza ,pole na majukumu dada ukirudi tutafurahi kupokea picha zako na shule za awali za huko

@FlavianaMatata Dada tunashukuru sana kwa kuitikia wito huu, ujumbe wako ni muhimu sana je ukipata muda unaweza ukawasilisha ujumbe>>>