Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@dizainatweets dizaina msg yako ni nzuri sana tafadhali tunakuomba uiwasilishe kwa njia mojawapo kati ya http://t.co/Wer7idym iwafikie wengi

Haki Elimu HakiElimu

Morning Twitfam ! Thank you for the support given so far in #boreshachekechea. God Bless You God bless. Our kids God Blesss Tanzania

Haki Elimu HakiElimu

@pkallaghe >> kampeni hii kwa kutulezea umuhimu wa elimu ya awali au nini kifanyike kuiboresha elimu hii' kwa kutumia ujumbe katika picha

Haki Elimu HakiElimu

@pkallaghe ni kweli mheshimiwa balozi michango yao ni muhimu katika kulijenga taifa hivyo tunaomba msaada wako kuwapata wachache wa UK>>

Haki Elimu HakiElimu

Je ungependa mawazo yako kuhusu elimu ya awali yaingie ktk album ya kihistoria nchini?Tuma picha ikiwa na ujumbe kwenda media@hakielimu.org

Haki Elimu HakiElimu

Wanafunzi wa "praiveti" waijibu HakiElimu kuhusiana na #boreshachekechea wamesemaje ? http://t.co/Wer7idym " na sisi "pabuliki" tunasemaje?

Haki Elimu HakiElimu

SAMBAZA TAARIFA HII KWA WATANZANIA ULIMWENGUNI KOTE KUTOKA KWA HAKIELIMU http://t.co/NjnQwEu6

Haki Elimu HakiElimu

@EceJay >> eti nyie mnataka kuingia kwenye auditions wakati hamjui hata a e i o u mlipitia chekechea kweli jamani " you are great icon lol

Haki Elimu HakiElimu

@EceJay watoto waliotutembelea ofisini leo walifurahi sana waliposoma tweet yako ya mwisho wakaaanza" background epbss na ujumbe wako eti >>

Haki Elimu HakiElimu

@FlavianaMatata >> eti we hope to see her in a pic na ujumbe wake atakuwa na background ya "raniwei" wengine foundation" du great icon