Tunatarajia kuanza mradi wa kutengeneza tray za mayai na mapambo kwa kutumia taka ngumu kama karatasi, maboksi, mradi utafadhiliwa na sustainable city Africa utafanyika mtaa wa guluka kwalala kata ya ukonga.
8 Juni, 2011
![]() | Guluka Kwalala Youth Environment GroupManispaa ya Ilala, Tanzania |