Log in
Guluka Kwalala Youth Environment Group

Guluka Kwalala Youth Environment Group

Manispaa ya Ilala, Tanzania

Kuwa mfano katika sekta ya kutoa mafunzo kwa jamii kwa kutumia nyenzo zinazowazunguka kuwaondolea umaskini.

Kujenga uwezo na uwazi katika kuinua uchumi katika makundi yaliyopo ndani na pembezoni mwa jamii ambayo itakuwa nyenzo ya Utawala Bora na kupunguza umaskini.
Latest Updates
Guluka Kwalala Youth Environment Group added a News update.
Mkuu wa Wilaya Kisarawe akifungua Mafunzo ya Kuimarisha maadili katika utumishi wa umma
September 23, 2014
Guluka Kwalala Youth Environment Group updated its Team page.
Bernard Ndunguru-Executive Secretary, Omary Ngaromba-Director, James Mlungwana- Program Officer, Islam Salum -Project Manager, Zephline Mlengowa-Accoutant, Elizabeth Edward - Secretary
September 23, 2014
Guluka Kwalala Youth Environment Group updated its Projects page.
MRADI WA KUKUZA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA NA KUIMARISHA UADILIFU, UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA. – Guluka Kwalala Youth Environment Group tarehe 30th March, 2010 kwenye Hotel ya OASIS Mjini Morogoro tuliingia makubaliano na ofisi ya Rais Menejiment... Read more

August 7, 2014
Guluka Kwalala Youth Environment Group created a History page.
Historia kwa ufupi kuhusu Guluka Kwalala Youth Environment Group – Guluka Kwalala Youth Environment Group ilianzishwa 22/Sept, 2003. na kupata usajili wake wa kudumu 06/01/2004. ikiwa na wanachama waanzilishi 19. Wanawake wakiwa 9 na wanaume wakiwa10. Kutoka mwaka 2003 hadi sasa ina jumla ya wanachama 33 na waajiliwa... Read more
August 7, 2014
Guluka Kwalala Youth Environment Group created a Projects page.
MRADI WA KUKUZA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA NA KUIMARISHA UADILIFU, UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA. – Guluka Kwalala Youth Environment Group tarehe 30th March, 2010 kwenye Hotel ya OASIS Mjini Morogoro tuliingia makubaliano na ofisi ya Rais Menejiment... Read more
August 7, 2012
Sectors
Location
Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations