Fungua
Guluka Kwalala Youth Environment Group

Guluka Kwalala Youth Environment Group

Manispaa ya Ilala, Tanzania

Historia kwa ufupi kuhusu Guluka Kwalala Youth Environment Group
Guluka Kwalala Youth Environment Group ilianzishwa 22/Sept, 2003. na kupata usajili wake wa kudumu 06/01/2004. ikiwa na wanachama waanzilishi 19. Wanawake wakiwa 9 na wanaume wakiwa10. Kutoka mwaka 2003 hadi sasa ina jumla ya wanachama 33 na waajiliwa saba.