Mwalimu wa mafunzo ya PETS Bw. Paul Benjamin akitoa maelezo ya mafanikio ya semina hii kwa wafadhili wa mradi wa uwajibikaji wa umma yaliyotolewa na shirika la Mzeituni Foundation katika kata ya Mriti tarehe 24-26/01/2011 kwa ufadhili wa shirika la Forum Syd kutoka nchini Sweden.
10 Machi, 2011