Baadhi ya watu wanaoishi na VVUna UKIMWI katika kata ya Bukanda (W)Ukerewe wakimsubiri mgeni rasimi kwa ajili ya kufungua rasimi ugawaji wa unga wa rishe na madawa yanayozuia magojwa nyemelezikwa watu waishio na VVU na UKIMWI tarehe 02/01/2011 ambao ulitolewa na shirika la Mzeituni Foundationi chini ya ufadhiri uliotolewa na Halmashauri ya (W) Ukerewe.
Mfanyakazi wa shirika la MzeituniFoundation Bw.Juma Ally Msumi akitoa msaada wa unga wa rishe watu wanaoishi na VVU na Ukimwi kupitia mradi ulio fadhiriwa na Halmashauri ya (W)Ukerewe
8 Machi, 2011