Fungua
JOINT INITIATIVES FOR VULNERABLES SUPPORT (MZEITUNI).

JOINT INITIATIVES FOR VULNERABLES SUPPORT (MZEITUNI).

Nyegezi Mwanza, Tanzania

large.jpg

Watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi wanaosoma katika shule ya msingi kagera (W)Ukerewe wakiwa wanasubiri kupewa msaada wa unga wa rishe na mfafakazi wa shirika la Mzeituni Foundation kupitia mradi uofadhiriwa na Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe ambao ulifafika mwezi wa jan- Feb 2011

Watu wenye mapenzi mema na watoto hawa wanakaribishwa kuwasaidi zaidi maama wanaishi na bibi zao wasio kuwa na uwezo wa kuwahudumia kielimu,kimaisha .

8 Machi, 2011
Ifuatayo »

Maoni (0)

[maoni yamefutwa]

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.