Fungua
JOINT INITIATIVES FOR VULNERABLES SUPPORT (MZEITUNI).

JOINT INITIATIVES FOR VULNERABLES SUPPORT (MZEITUNI).

Nyegezi Mwanza, Tanzania

large.jpg

Tukiendelea na Program ya Mafunzo ya Uongozi kwa WANAWAKE (Waheshimiwa Madiwani,viongozi serikalini,na kada nyingine mbalimbali za utumishi wa umma,mashirika binafsi, taasisi za dini na vyama vya siasa).Lengo ni kuchochea uthubutu miongoni mwao ili kuona wanaweza na pengine wachukue fursa za kugombea nyadhifa mbalimbali za uongozi kwenye maeneo yao ya kazi.

14 Julai, 2014
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.