Log in
EBENEZER COMPASSION   VISION

EBENEZER COMPASSION VISION

Muleba, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

-Kuhamasisha maendeleo ya vijana na wananchi juu ya mabadiliko ya kitabia-katika Elimu rika

-Kuhamasisha jamii kupambana na magonjwa ya  kuambukizwa na kushauri jamii kisaikolojia(moral counselling).

-Kuhimiza elimu ya ujasiliamali kwa vijana pamoja na wanawake.

-Kuhimiza miradi ya kuanzisha kipato

-Kuhimiza maswala ya kiroho katika jamii

-Kuanzisha vituo vya watoto wadogo -nursery na awali.

Latest Updates
EBENEZER COMPASSION VISION created a Team page.
Mkurugenzi -Vedasto V.Peter – KATIBU-Danstan Paul – MWEKA HAZINA -Coletha Vedasto – Mshauri Vijana na kiroho-Aron Abel – Mshauri wanawake na jinsia-Lea Kamugisha – Mshauri programu na miradi-Fabian Mohamba
August 16, 2012
EBENEZER COMPASSION VISION created a History page.
Shirika la EBENCOV -Ebenezer Conpassion Vision lilianzishwa mwaka 2011 nakuandikishwa na taasisi za usajili Shirika lilianza kwa ajili ya kusaidia vijana na watoto walio katika mazingira magumu; hi ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri kwa vijana kuhusiana na kupambana na madawa ya kulewa. – Shirika... Read more
August 16, 2012
EBENEZER COMPASSION VISION joined Envaya.
August 16, 2012
Sectors
Location
Muleba, Kagera, Tanzania
See nearby organizations