Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
-Kuhamasisha maendeleo ya vijana na wananchi juu ya mabadiliko ya kitabia-katika Elimu rika
-Kuhamasisha jamii kupambana na magonjwa ya kuambukizwa na kushauri jamii kisaikolojia(moral counselling).
-Kuhimiza elimu ya ujasiliamali kwa vijana pamoja na wanawake.
-Kuhimiza miradi ya kuanzisha kipato
-Kuhimiza maswala ya kiroho katika jamii
-Kuanzisha vituo vya watoto wadogo -nursery na awali.
Amakuru agezweho
EBENEZER COMPASSION VISION yakoze Ikipe paje.
Mkurugenzi -Vedasto V.Peter – KATIBU-Danstan Paul – MWEKA HAZINA -Coletha Vedasto – Mshauri Vijana na kiroho-Aron Abel – Mshauri wanawake na jinsia-Lea Kamugisha – Mshauri programu na miradi-Fabian Mohamba
16 Kanama, 2012
EBENEZER COMPASSION VISION yakoze Amateka paje.
Shirika la EBENCOV -Ebenezer Conpassion Vision lilianzishwa mwaka 2011 nakuandikishwa na taasisi za usajili Shirika lilianza kwa ajili ya kusaidia vijana na watoto walio katika mazingira magumu; hi ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri kwa vijana kuhusiana na kupambana na madawa ya kulewa. – Shirika... Soma ibindi
16 Kanama, 2012
EBENEZER COMPASSION VISION yasanze Envaya.
16 Kanama, 2012
Ibyiciro
gukemura amakimbirane, Uburezi, virusi itera SIDA, Amahugurwa y'imyuga, ikoreshwa ry'ibiyobya bwenge
Aho uherereye
Muleba, Kagera, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye
Reba ibigo mwegeranye