Dira Theatre wakicheza Ngoma ya Zanzibar (Chasso) katika Maandalizi ya Mwisho ya Kujiandaa na Sherehe za Uzinguzi wa mbio za Mwenge, Uwanja wa Jamhuri Morogoro
Maandalizi ya mwisho ya kujiandaa na uzinduzi wa mbio za Mwenge Uwanja wa Jamhuri Morogoro
Dira Theatre wakiwa katika maandalizi ya Uzinduzi wa mbio za Mwenge Morogoro
Meneja wa Dira akieleza jambo kwa mtendaji wa kijiji na mwenyekiti wa kijiji (hawapo pichani) katika zoezi la ufuatiliaji wa shughuli za mradi wa sera na sheria za ardhi zilizoendeshwa na Dira.
Meneja wa Dira Ndg. Erasmo Tullo akizungumnza na baadhi ya wanachama wa Dira. Hii ni katika Ofisi ya Dira iliyopo kata ya Mafiga, Morogoro Manispaa.
Baadhi ya timu ya Dira wakiwa katika picha ya pamoja. hii ni katika ziara ya kutoa elimu kwa njia ya sanaa vijijini.
Wananchi katika kijiji cha Kitange Moja, wakifuatilia kwa makini moja ya kazi za sanaa zilizokuwa zikioneshwa na Dira Theatre.
WanaDira wakitoa elimu kwa jamii kwa njia ya Igizo, hii ni katika kijiji cha Mtumbatu.
Wasanii wa Dira Theatre Group wakitoa elimu kwa njia ya sanaa ya ngoma, katika kijiji cha Magubike.