Envaya

Dira Group

Manispaa ya Morogoro, Tanzania

Kuhimiza, kusukuma na kusaidia maendeleo ya kijamii, kielimu, kiuchumi na kiutamaduni ili jamii iweze kupambana na matatizo mbalimbali yanayowakabili.

Mabadiliko Mapya
Dira Group imeongeza Habari 5.
Dira Theatre wakitumbuiza katika viwanja vya ikulu ndogo Morogoro Mjini, katika ziara ya waziri mkuu wa Tanzania.
5 Agosti, 2016
5 Mei, 2016
Dira Group imeongeza Habari 3.
Dira Theatre wakicheza Ngoma ya Zanzibar (Chasso) katika Maandalizi ya Mwisho ya Kujiandaa na Sherehe za Uzinguzi wa mbio za Mwenge, Uwanja wa Jamhuri Morogoro
26 Aprili, 2016
Dira Group imeumba ukurasa wa Miradi.
Dira Theatre imeshatekeleza miradi ifuatayo;- – UTAWALA BORA KWA VIONGOZI WA VIJIJI 2009/10 katika tarafa ya Mamboya, wilaya ya Kilosa na vijiji vyote vya wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro. – UTEKELEZAJI WA SERA NA SHERIA ZA ARDHI VIJIJINI 2010/15 katika kata za Maguha, Magubike, Mamboya,... Soma zaidi
1 Machi, 2016
Dira Group imeumba ukurasa wa Mkuu.
Kuhimiza, kusukuma na kusaidia maendeleo ya kijamii, kielimu, kiuchumi na kiutamaduni ili jamii iweze kupambana na matatizo mbalimbali yanayowakabili.
1 Machi, 2016
Dira Group imeumba ukurasa wa Historia.
DIRA THEATRE GROUP (DTG) ni asasi ya kiraia ambayo ilianzishwa mwaka 2005 na kusajiliwa mwaka 2006 kwa No.BST/2560 chini ya sheria No. 23 ya mwaka 1984. Kutokana na aina hii ya usajili Dira imeruhusiwa kufanya kazi zake mahali popote ndani ya... Soma zaidi
1 Machi, 2016
Sekta
Sehemu
Manispaa, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu