Injira
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma

Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) - Dodoma

Dodoma, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

USHAWISHI NA UTETEZI WA KUPUNGUZA UMASIKINI KWA VIZIWI WA DODOMA.

cvtwilayadom (Dodoma)
6 Ukuboza, 2011 at 16:44 EAT

 USHAWISHI NA UTETEZI KATIKA

KUPUNGUZA UMASIKINI KWA VIZIWI Mkoa wa Dodoma kwa wilaya ya Dodoma mjini.Utekelezaji Mradi huo.Aidha wadau wanaonekana kuchangia changamoto mbalimbali za haki za ushirikishaji Viziwi wa wilaya Sekta ya Elimu ya Awali,Msingi na Sekondari na kuwawezesha Viziwi kupata Ajira,Mikopo ya Vikundi  vya Ujasirimali wa miradi ya Biashara n.k, Matokeo ya Midahalo hii yamezaa Matunda kama vile wadau wa jamii kuwatambua na kuwathamini walemavu Viziwi na kuwapatia nafasi ambazo ni muhimu kwa wao viziwi kuzipata mfano Wilaya Dodoma tumekabidhiwa ofisi ya viziwi wilaya humo,kupatiwa darasa la kutolea mafunzo ya lugha ya Alama kwa wadau wa maendeleo kama vile Walimu,Polisi,Madaktari na watendaji lengo ni kutoa huduma zao kwa ufanisi zaidi pindi viziwi wanapozihitaji


Andika ubutumwa

Tumira abandi mu kiganiro