Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

June 10, 2011

Comments (2)

SOME OF CSED BOARD MEMBERS WITH STREET CHILDREN AFTER A LUNCHEON AT ROCKBEACH HOTEL MWANZA
June 10, 2011
mariamsaid (sinza) said:
Zenna vipi za masiku natumaini upo mzima.

mimi dadake mkubwa wa rashidi wa hapa Sinza.familia ya mohammed.nimesikia unaishi hapa hoteli Mwika.

nilitaka tushauriane kuhusu jambo fulani.nimekuona hivi ukiwa na jamaa mmoja mweusi. nimeulizia nikapata habari unamahusiano na yule jamaa.

dadangu kwa hisani nakuomba uyasikie.yule aliwahi kutembea na khadija mwenye duka la nguo hapo stendi ambaye ameaga hivi majuzi kutokana na

virusi, ametembea na Asha, Pinky na visichana vya shule vidogo vidogo vya st.augustin university pale mza. yeye nimeskia ni career yeye kazi ni

kuambukiza na kuwacha mabinti wakifa na virusi. nimepata habari amefungua biashara na anafanya utapeli wa hali ya juu pale mjini mza.kuwa makini

dada dunia imebadilika.


dada nakuombea mola usije kaambukizwa.ya mola makubwa muombe aturehemu sote jamani ya dunia ni mengi.

wasalimu ndugu zako wote.

mariamu.
November 30, 2012

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.