Envaya

MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM)JUNI 21,2014.

Mwenyekiti anawataarifu wanachama,wajumbe,wadau na jamii yote kuwa juni 21 2014,chawaumavita wanatarajia kufanya mkutano mkuu wa mwaka,katika viwanja vya mazoezi tiba manzese ukombozi,saa 3 asubuhi.

agenda za mkutano mkuu ni

1.marekebisho ya katiba,

2.ripoti ya kamati tendaji 2013/2014,

3.mapato na matumizi.

wajumbe wote wana karibishwa katika kushiriki zoezi hili muhimu la kikatiba

9 Juni, 2014
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.