Injira
CHAMA CHA WASTAAFU NA WAZEE [M] MTWARA

CHAMA CHA WASTAAFU NA WAZEE [M] MTWARA

mtwara mjini, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Chama cha Wastaafu na Wazee Mkoa wa Mtwara ni Asasi ambayo inashughulika katika Mkoa wa Mtwara ambayo imeazishwa mwaka 1987 na kuandikishwa mwezi Machi, 1998. Wanachama hukutana mara kwa mara kujadili  maendeleo ya chama na hasa kuondokana na umaskini kwa wazee.Tatizo la chama kwa hivi sasa ni kupata njia ya kuongeza uchumi.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

chama cha wastaafu na wazee ni asasi ambayo inafanya kazi kwa kuzingatia sera ya taifa ya wazee. kwa hali  hiyo wanachama hukutana mara kwa mara kujadili masuala ambayo yataleta mabadiliko katika  maisha na hasa kuondokana na umaskini. Hivi karibuni  chama kimetilia  mkazo mkazo suala la wazee kupata pensheni wote.